Sunday, March 13, 2011

SIMTESE MTOTO

wengine wachuwa advantge juu,
mtoto ni yatima hana wazazi,
wakumpa malezi pia mavazi,
wazazi wakambo pia jirani,
mjomba shangazi pia rafiki,
wamtesa kwanini,
wachakutumia mtoto kama chombo,
ukifanya hivyo unaniumiza moyo,
utapata pigo, kiboko toka kwa Mungu,
simtese mtoto, mpende uliye mzaaa,
mpe mtoto heshima,haki lazima walia wao no bima,
upendo wacha pima mtoto aache lawama,
ujumbe kwa wote baba pia mama,
mtoto dhahabu,nyota hangani,furaha ya nyumbani .

No comments: